Afisa wa polisi ahusishwa na mauaji ya Dkt Victoria Mutiso
Afisa wa polisi anayedaiwa kufyatua bunduki kwenye mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso amejumuishwa na washukiwa wengine watatu kwenye kesi ya mauaji hayo ambayo imeingia awamu mpya kwenye mahakama kuu ya Milimani jijini Nairobi. Konstebo Elijah Kibelion Kimoi alifikishwa mbele ya jaji Kanyi Kimondo pamoja na Rose Mbithe Mulwa, kwa jina jingine Rose Mbithe Ndetei na wanawe wawili Chris Mulwa na Angela Mulwa. Washukiwa watafanyiwa uchunguzi wa kiakili kabla ya kurejeshwa kortini mwezi ujao ambapo watatakiwa kujibu mashtaka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

#KũmuramuraMagathĩti 01\09\26

SHOCKING: Kenyan Journalist ABDUCTED, Interrogated, Dumped 200km Away — Who Sent Them?

Abducted Standard Group Editor Alex Kiprotich found dumped near Masinga dam

Lawyer Rose Mbithe, Three Other Suspects Appear At Milimani over Alleged Murder of DrVictoria Mutiso

BREAKING! VICTORIA MUTISO MURDER CASE TAKES A SHOCKING TURN AS FOUR SUSPECTS ARE CHARGED WITH MURDER

Who killed Kenyatta University student last seen at 3AM? | Murder Tapes SN3 EP 11

Alimtaja Ruto Hadharani... Kilichofuata Kiliwaacha Wakenya Wakizungumza

President Ruto orders all foreigners to stop hawking and close all their retail shops in Kenya!

Fuel Prices I CS Wandayi holds meeting with tuktuk operators

MALISA AONGEA BAADA YA KUACHIWA, HAKUNA TUHUMA ZOZOTE, TUMEACHIWA HURU

MAPYA KESI YA UHAINI YA MWENYEKITI CHADEMA CHOZAILE

Pipeline: Life in Nairobi’s concrete jungle

BREKING NEWS; MALISA AFUNGUKA MAZITO KWA MARA YA KWANZA TANGU AKAMATWE NAMANGA JANA

Dr. Victoria Mutiso Murder Plot|| DCI Trail of Evidence, Mother and Son Implicated—The brief channel

Ruto gets Standing ovation from traders after VOWING to deal COMPLETELY with growing Chinese shops

JINSI POLISI WALIVYOHUKUMIWA KUNYONGWA kwa KUMUUA MFANYABIASHARA wa MADINI MTWARA - SINDANO YA SUMU

AJINYONGA BAADA YA KUAMBIWA AENDE SHULE ;ALIKUWA ANASEMA ATAJINYONGA BABA HAMPENDI NA MAMA WA KAMBO

RAIS SAMIA ANAWAAPISHA WAKUU WA MIKOA NA MKATIBU TAWALA WA MIKOA

EPISODE 65: THINGS ARE HEATING UP "THIS COURT IS NOT YOUR MOTHER'S" LISSU AND KATUGA TRADE BARBS ...
